Skip to main content
Skip to main content

Wanawake, vijana Daaba wapanda miche laki mbili kukabili mabadiliko ya tabianchi Isiolo

  • | NTV Video
    95 views
    Duration: 2:02
    Huku athari za mabadiliko ya tabianchi zikiendelea kushuhudiwa katika kaunti ya Isiolo, wanawake na vijana wa kijiji cha Daaba, kata ya Ngaremara, wamejitokeza kupanda zaidi ya miche laki mbili ndani ya mwaka mmoja, hasa katika maeneo yenye upatikanaji wa maji. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya