Skip to main content
Skip to main content

CCTV zinaonyesha gari la mbunge wa zamani Jirongo kabla ya ajali iliyommuuwa

  • | Citizen TV
    17,949 views
    Duration: 2:15
    Kanda za kipekee za cctv sasa zimeonyesha matukio, dakika chache kabla ya kifo cha mbunge wa zamani wa lugari Cyrus Jirongo. Kamera hizi zikionyesha namna gari ya jirongo ilivyohusika kwenye ajali hiyo alfariji ya jumamosi iliyopita.