- 656 viewsDuration: 2:59Swala la ufadhili wa afya ya uzazi kwenye bima ya afya ya SHA limeendelea kuibua maswali, baada ya video nyingine kutokea kuonyesha kina mama waliojifunga wakiwa wamezuiliwa katika hospitali ya Thika Level 5. Tukio hili likifuatia lile lililoshuhudiwa katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret juma lililopita. Katibu wa afya ya umma Mary Muthoni akikiri mapungufu ya baadhi ya matukio amesema kuna njia kwa wale wanaoshindwa kulipia gharama zao.