Skip to main content
Skip to main content

Wandani wa Ruto wamshambulia Gachagua kwa kuikosoa serikali mara kwa mara

  • | NTV Video
    556 views
    Duration: 1:35
    Katibu mratibu wa UDA na Mbunge wa Mwala, Vincent Musyoka Kawaya, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa kuikosoa mara kwa mara serikali ya Rais William Ruto, akisema kuwa Wakenya wanahitaji matokeo na suluhu za kweli badala ya siasa za maneno. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya