Skip to main content
Skip to main content

Wandayi aagizwa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu sakata ya mafuta

  • | Citizen TV
    542 views
    Duration: 2:27
    Waziri wa kawi na petroli Opiyo Wandayi ameagizwa kufika mbele ya kamati ya kawi katika bunge la kitaifa kuhusiana na sakata ya mafuta inayoendelea. Wandayi akiagizwa kufika kufafanua yale anayoyajua kuhusiana na sakata hii iliyosababishwa kujiuzulu kwa maafisa kadhaa wakuu kwenye wizara hiyo. Haya yanajiri huku halmashauri ya kuthibiti bei ya mafuta nchini EPRA ikitishia kubatilisha leseni za kampuni zinazoficha mafuta na kuhakikisha kuwa Kenya bado ina mafuta ya kutosha