Wandayi asema ushuru wa serikali ndio chanzo cha bei ya juu ya mafuta

  • | TV 47
    76 views

    Wandayi asema ushuru wa serikali ndio chanzo cha bei ya juu ya mafuta.

    Wabunge wapinga maelezo ya wizara kuhusu gharama ya nishati.

    Kamati ya Bunge yachunguza mkataba wa ununuzi wa mafuta.

    Mkataba wa serikali unatarajiwa kutamatika mwaka 2028.

    Wandayi: Mafuta huwasili kwa bei nafuu, lakini ushuru hupandisha bei.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __