Skip to main content
Skip to main content

Wanne wafariki, 35 wamelazwa baada ya mlipuko wa kipindupindu Transmara

  • | Citizen TV
    1,933 views
    Duration: 1:08
    Watu wanne wamefariki kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu tika eneo la Transmara Kaunti ya Narok. Watu wengine 35 wamelazwa hospitalini wakitibiwa kwa ugonjwa huu