Wanyamapori wahangaisha Loitokitok

  • | Citizen TV
    78 views

    Wakazi wa kijiji cha Korinko huko Loitkitok kaunti ya Kajiado wanaishi kwa hofua ya kushambuliwa na fisi na chui ambao wamekuwa wakiranda randa katika eneo hio na kula mifugo wao kila siku