Wapalestina katika Ukingo wa Gaza watoa maoni yao kuhusu kuundwa kwa serikali mpya

  • | VOA Swahili
    65 views
    Wapalestina wanaoishi kwenye ukingo wa magharibi waliochoshwa na mzozo kati yao na Israel wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu kuundwa kwa serikali mpya ya Palestina inayotarajiwa hivi karibuni, baada ya kujiuzulu kwa waziri mkkuu mwishoni mwa wiki .Baadhi yao hawana matumaini ya kuwepo mabadiliko katika maisha yao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.