Skip to main content
Skip to main content

Wapelelezi waanza uchunguzi wa kifo cha mwanafunzi wa chuo Kikuu Constance Githinji Kileleshwa

  • | Citizen TV
    2,572 views
    Duration: 2:23
    Siku tatu baada ya kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Constance Githinji, wapelelezi wameanza rasmi uchunguzi kwa kufika katika eneo la tukio hilo mtaani Kileleshwa. Kufikia sasa, zaidi ya watu watano wamehojiwa akiwemo mlinzi aliyekuwepo katika eneo hilo muda mfupi baada ya kifo cha binti huyo.