Skip to main content
Skip to main content

Wapenzi wavishana pete juu ya mnara

  • | BBC Swahili
    2,156 views
    Duration: 40s
    Wapenzi waliovalia mavazi meusi na kufunika nyuso zao kwa barakoa walionekana wakivishana pete ya uchumba juu ya mnara wa Empire State Building jijini New York City siku ya Jumatano (1 Julai). Wawili hao walipanda hadi katika kilele cha mnara huo maarufu na kutandaza bango kubwa lililoandikwa: "Pale ambapo nguvu ya upendo inashinda upendo wa madaraka, dunia hujua amani." Walikaa juu ya jengo hilo lenye urefu wa mita 443 kwa takriban dakika 10. Idara ya Polisi ya New York (NYPD) imeiambia BBC kuwa watu hao wawili wamekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi. - - #bbcswahili #mapenzi #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw