Skip to main content
Skip to main content

Waridi wa BBC: "Mazishi yangu yalishaandaliwa" Mwanamke anayeishi na HIV kwa miaka 30

  • | BBC Swahili
    3,455 views
    Duration: 12:58
    Katika enzi za matibabu mapya ya HIV, kuna kizazi cha watu walioambukizwa virusi vya HIV mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya upatikanaji wa dawa za ARV. Leo hii, wengi wao wanaelekea miaka 60 au hata 70, wakiishi na virusi hivyo Mwandishi wa BBC Beldeen Waliaula amezungumza na mmoja wa wale wanaoishi wakiwa na virusi vya HIV kwa muda mrefu wakisimulia safari yake na changamoto anazopitia #bbcswahili #kenya #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw