31 Mar 2026 12:43 pm | K24 Video 186 views Duration: 47s “Kuna wasaliti wanashinda kwa kasongo, wanasema eti Kalonzo ni bure, eti haewezi. Sasa hao wasaliti mkiwapatia nafasi si mtakuwa mmemuangusha. Pale mlimani nimeweka oparesheni inaitwa fagia...” -Rigathi Gachagua.