Washikadau wa elimu wataka vituo vya CBC

  • | Citizen TV
    248 views

    Washikadau wa elimu wameitaka serikali kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu kwa kuongeza vituo vya mafunzo ya mtaala wa CBC katika kaunti zote.