Washikadau wa sekta ya utalii kaunti ya Kilifi waitaka serikali kuweka mikakati kuimarisha utalii

  • | Citizen TV
    249 views

    Washikadau katika sekta ya utalii kaunti ya kilifi wanaitaka serikali kuweka mikakati kabambe ili kuimarisha sekta hiyo ambayo imesambaratika kwa muda. Baadhi ya mikakati ambayo imependekezwa na washikadau hao ni kuongezwa kwa idadi ya safari za ndege za kitalii ambazo zinatua humu nchini.