Skip to main content
Skip to main content

Washindi wa Shabikia World Cup Kishabiki wazawadiwa

  • | Citizen TV
    163 views
    Duration: 1:15
    Susan Amuruon kutoka Embakasi, Joseph Maina wa Nairobi na Brian Otieno kutoka Kaunti ya Siaya ndio washindi wa Shabikia World Cup Kishabiki kwenye Shabiki.com, wakijishindia shilingi 500,000, 300,000 na 200,000 mtawalia kwa kucheza mchezo wa Crash. Susan, ambaye ni mchuuzi hapa nairobi, pamoja na Joseph, wanasema watatumia fedha walizoshinda kufungua biashara za kuuza nguo, huku Brian akipanga kutumia zawadi yake kuendeleza masomo yake. Kampeni ya Shabikia World Cup Kishabiki itaendelea kwa kipindi hiki cha Kombe la Dunia, huku jumla ya shilingi milioni 9 zishindaniwa.