WASHINGTON BUREAU - MAREKANI NA UJERUMANI WARIDHIA KUTUMA VIFARU VYA KIVITA UKRAINE

  • | VOA Swahili
    1,487 views
    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba Marekani itatuma vifaru 31 aina ya Abrams nchini Ukraine, muda mfupi tu baada ya Ujerumani kutangaza kwamba itatuma vifaru 14 aina ya Leopard 2 ikiwa ni juhudi ya pamoja ya kusaidia Kyiv kujilinda dhidi ya uvamizi wa Russia #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.