Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wa shambulizi la All Saints Cathedral wazuiliwa kwa siku 14

  • | KBC Video
    5,646 views
    Duration: 3:01
    Mahakama Kuu imeagiza pande zote katika kesi kuhusu mkataba wa ujenzi wa kituo cha karantini cha ugonjwa wa Ebola kati ya Kenya na Marekani katika kambi ya jeshi la wanaanga ya Laikipia kufika mahakamani siku ya Alhamisi kwa ajili ya mawasilisho.Hii ni baada ya taasisi ya katiba na chama cha wanasheria kuiarifu mahakama kwamba serikali imekaidi maagizo ya mahakama. Jaji Patricia Nyaundi alielezwa kwamba ujenzi wa kituo hicho bado unaendelea, licha ya maagizo ya mahakama iliyosimamisha ujenzi wa kituo hicho hadi kesi hiyo isikilizwe na kuamuliwa.Taarifa kamili kwenye mizani ya haki Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive