Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wa wizi wa kimabavu katika maeneo ya burudani Nairobi, Kiambu na Kajiado wakamatwa

  • | Citizen TV
    6,222 views
    Duration: 3:42
    Maafisa wa DCI wamewakamata washukiwa watatu wanaohusishwa na wizi wa kimabavu kwenye maeneo ya burudani katika kaunti za Nairobi, Kiambu na Kajiado. Kwa mujibu wa polisi, washukiwa wamekuwa wakivamia maeneo ya kuuza pombe, kuwajeruhi wenye biashara, kuiba mali na wakati mwengine kuua waathiriwa..