- 6,251 viewsDuration: 3:24Washukiwa watatu wamekamatwa kuhusiana na uvamizi wa Seneta wa Vihiga, Godfrey Osotsi, mjini Kisumu hapo jana. Watatu hao waliotambulika na maafisa wa upelelezi wamekamatwa huku Seneta Osotsi aliyelazwa hospitalini akisifulia yaliyomsibu. Viongozi wa upinzani waliomtembelea seneta huyo hospitalini wakishutumu tukio hilo.