Washukiwa wawili wa wizi wauawa Kiambu

  • | Citizen TV
    2,609 views

    Washukiwa wawili wa wizi wameuwawa na wakaazi waliojawa na ghadhabu baada ya kushukiwa kuwahangaisha kwa kuwapora na kuwajeruhi wakaazi wa eneo la Thogoto na maeneo mengine ya kaunti ndogo ya Kikuyu.