9 Sep 2025 1:11 pm | Citizen TV 507 views Duration: 1:03 Washukiwa wawili wa wizi wa mabavu wamefikishwa katika mahakama ya Eldoret kwa madai ya kumpora mwanahabari wa Citizen Tv, Steve Shitera vifaa vya kazi na pesa kisha kumjeruhi.