Washukiwa wawili wamekamatwa wakipakia upya bidhaa zilizoharibika mtaani Embakasi

  • | Citizen TV
    387 views

    Maafisa wa afya pamoja na polisi wamewanasa washukiwa wawili waliokuwa wakipakia bidhaa ghushi katika eneo la Embakasi hapa jijini Nairobi.