Skip to main content
Skip to main content

Wasichana 500 wa 'Girl Guides' wakutana Homa Bay

  • | Citizen TV
    356 views
    Duration: 3:09
    Wasichana ambao ni wanachama wa Kenya Girl Guides wamejitokeza kuzungumzia changamoto zinazowakumba wasichana zikiwemo mimba za utotoni na dhulma dhidi yao. Changamoto hizi zikiathiri pakubwa elimu ya wasichana katika kaunti ya Homa bay. Walikuwa wakizungumza huko Homa Bay katika hafla ya kumbukumbu ya mwanzilishi wa chama cha Kenya Girl Guide nchini.