Skip to main content
Skip to main content

Wasichana wa Pate Girls watia fora licha ya changamoto za miundomsingi

  • | Citizen TV
    387 views
    Duration: 3:31
    Licha ya mazingira magumu ya kusoma katika Kisiwa cha Pate eneo bunge la Lamu Mashariki kaunti ya Lamu,wanafunzi wa shule ya upili ya wasichana ya Pate ambayo ni shule ya kaunti ndogo ya Lamu na shule ya bweni wanaendelea kufanya vizuri kwenye mtihani wa kitaifa KCSE.