13 Oct 2025 10:17 am | Citizen TV 129 views Duration: 1:20 Wanachama wa kundi la The Bold Women Initiative kutoka eneo la Tharaka wametoa tahadhari kuhusu ongezeko la visa vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi.