Wasimamizi wa hospitali ya Mama Lucy wajitetea kuhusiana na madai ya kutelekeza wagonjwa

  • | Citizen TV
    1,565 views

    Usimamizi wa hospitali ya Mama Lucy umekanusha madai ya utepetevu uliosababisha vifo vya wagonjwa hospitalini humo. Wasimamizi hao waliojiwasilisha mbele ya kamati ya seneti kuhusu afya walihojiwa kuhusu matukio yaliyosababisha kifo cha mama aliyejifungua na kuvuja damu hadi akafariki na mgonjwa aliyekuwa amepata ajali.