- 288 viewsDuration: 2:37Wasimamizi wa makao ya watoto yatima katika kaunti ya Samburu,wametoa wito Kwa wizara ya afya kutafakari upya jinsi bima mpya ya afya ya SHA itawajumuisha watoto yatima kama ilivyokuwa kwenye bima ya NHIF iliyofutiliwa mbali.