Skip to main content
Skip to main content

Wasiwasi kuhusu usiri wa taarifa za kidijitali waendelea kuongezeka

  • | Citizen TV
    4,510 views
    Duration: 2:26
    Wasiwasi kuhusu usiri wa taarifa za kidijitali waendelea kuongezeka huku Wakenya wengi wakisambaza taarifa zao binafsi mtandaoni. Mshauri wa masuala ya usalama, George Musamali, awaonya wananchi kuwa waangalifu, akionya kuwa alama za kidijitali zaweza kutumiwa kwa urahisi kufuatilia watu.