Skip to main content
Skip to main content

Wasiwasi waongezeka kufuatia mashambulizi ya watu wenye silaha kwenye maandamano na chaguzi

  • | Citizen TV
    6,557 views
    Duration: 3:22
    Kuongezeka kwa visa vya watu wasiotambulika na wenye silaha kushambulia maandamano na hata chaguzi ndogo kumeibua wasiwasi huku kukiwa na maswali kuhusu asasi husika kutochukua hatua zinazohitajika. Kisa cha hivi punde zaidi ni katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou ambapo licha ya ghasia za aina hiyo kushuhudiwa, asasi husika zinaendelea na mapuuza.