5 Dec 2025 1:59 pm | Citizen TV 571 views Duration: 2:01 Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kwa ushiriano na Usimamizi wa Makavazi ya Kitaifa kilitia saini mkataba utakaolenga kuhifadhi historia ya utajiri wa jamii ya Maa kwa manufaa ya Utalii nchini.