Wataalam kutoka Marsabit wafariji familia zilizowapoteza wapendwa wao kwenye shambulizi la uhalifu

  • | KBC Video
    12 views

    Viongozi kadhaa kutoka kaunti ya Marsabit wametoa wito wa kumalizwa mara moja kwa makabiliano na kutekelezwa kwa haki kufuatia mashambulizi ya uhalifu katika kauntiu ndogo ya Laisamis.Wiki iliyopita watu wanane waliuawa na wengine watatu kujeruhiwa na majambazi katika kijiji cha Yell Kurkum huko Laisamis.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #marsabitcounty #insecurity