24 Apr 2026 1:31 pm | Citizen TV 395 views Duration: 1:54 Wataalam wa afya katika Kaunti ya Embu wanaonya kuhusu ongezeko kubwa la magonjwa yasiyo ya kuambukiza, huku visa vya kisukari, shinikizo la damu na saratani vikiongezeka kwa kasi maeneo ya mlima kenya.