Wataalam wakamilisha utafiti wa kutafuta mbegu zinazoweza kustahimili magugu sugu Busia

  • | Citizen TV
    186 views

    Huenda tatizo la kukabiliana na magugu sugu yanayoathiri pakubwa mazao ya nafaka katika kaunti ya Busia, likafikia kikomo baada ya watafiti na wanasayansi kutoka mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania kuendeleza utafiti wa maabara. Wataalam kutoka mataifa hayo matatu sasa wakiwa wanakamilisha awamu ya tatu ya utafiti wa kutafuta mbegu zinazoweza kustahimili magugu hayo sugu