Wataalamu wa maabara wagoma wakidai wanabaguliwa

  • | Citizen TV
    18 views

    Huduma za maabara katika hospitali za umma kaunti ya Machakos zimetatitizika baada ya wataalamu wa maabara kugoma.