Wataalamu wa mifugo wanataka kujumuishwa

  • | Citizen TV
    216 views

    Wataalamu wa maswala ya mifugo chini ya muungano wao wa kitaifa UVPK,wameishtumu serikali Kwa kutowahusisha kwenye vita vya kukomesha ujangili wa wizi wa mifugo, hali wanayodai imechangia ongezeko la wizi huo.