Wataalamu wakutana kutafuta suluhisho la tatizo la maji

  • | KBC Video
    7 views

    Wataalamu kwenye sekta ya maji wanaonya kuwa tatizo la mara kwa mara la uhaba wa maji katika maeneo kame humu nchini linachangiwa na athari za mabadiliko ya tabianchi na ongezeko la idadi ya watu.Wakiongea kwenye warsha moja mjini Maralal, wataalamu hao kutoka kituo cha mafunzo na utafiti kama maeneo kame waliangazia haja ya dharura ya kuhifadhi maji humu nchini. Warsha hiyo ilihudhuriwa na wadau kutoka kaunti za Nyeri, Laikipia, Samburu, Isiolo na Meru kutafakari suluhisho kuhusu tatizo la uhaba wa maji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive