- 442 viewsDuration: 2:55Zaidi ya watahiniwa laki mbili na sabini wa mtihani wa KCSE wa mwaka jana watajiunga na vyuo vikuu moja kwa moja. Akitangaza matokeo hii leo, waziri wa elimu Migos Ogamba alibaini kuwa watahiniwa 1,932 walipata alama ya A, ikiwa idadi ya juu ikilingansihwa na mwaka wa 2024.