- 283 viewsDuration: 1:23Huku watahiniwa wa mitihani ya kitaifa wakiendelea na mitihani kwa siku ya pili, wito umetolewa kwa wazazi kuwapa muda mwafaka wa kudurusu vitabu vyao na kuhakikisha kuwa wanawapa vifaa vyote vya kutumia wakati wa mtihani huo.