Watalii wa China waanza kufurika mbuga ya Maasai Mara

  • | Citizen TV
    125 views

    Wizara ya utalii na tamaduni imesema mikakati ya kuiza Kenya kama kivutio cha watalii imeanza kuzaa matunda baada ya ongezeko la watalii kutoka Uchina hasa msimu huu wa wildebeest migration kule Maasai Mara