Skip to main content
Skip to main content

WaTanzania waliokimbilia Zambia kuepuka vurugu za baada ya uchaguzi wazugumza na BBC

  • | BBC Swahili
    19,171 views
    Duration: 2:09
    Baada ya hali ya kawaida kurejea Tanzania kufuatia maandamano na vurugu zilizotibuka siku ya uchaguzi juma lililopita, baadhi ya Wa Tanzania wanaendelea kutafuta wapendwa wao na ndugu zao huku wengine waliowapata wakiwasitiri na kuwazika wapendwa. - Leo BBC imezungumza na Baadhi ya raia kutoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania walioripotiwa kutoroka nchi hiyo kufuatia machafuko yaliyoibuka baada ya maandamano ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. - - - #maandamano #uchaguzi #bbcswahili #zambia #tanzaniatiktok #tunduma #uchaguzimkuu #uchaguzimkuu2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw