15 Dec 2025 1:29 pm | Citizen TV 136 views Duration: 1:32 Watetezi wa usimamizi wa ugonjwa wa tawahudi wamezua tetesi kuhusiana na mswada wa usimamizi wa ugonjwa huo ulioko bunge la seneti unaolenga kukuza mbinu muhimu jumuishi na iliyoratibiwa kudhibiti tawahudi nchini.