Skip to main content
Skip to main content

Watoto 25 wanufaika na vifaa vya kuwawezesha kusikia

  • | KBC Video
    196 views
    Duration: 3:13
    Ilikuwa furaha isiyo kifani kwa Wazazi wa watoto waliokuwa na ulemavu wa kusikia waliokusanyika katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta wakati wa kuwasilishwa kwa vifaa vya kuwawezesha kusikia.. Miongoni mwao ni Wincate Wambui na bintiye Goretti, ambaye ni mmojawapo wa watoto 50 waliopachikwa vifaa hivyo vya kuwawezesha kusikia mwaka uliopita katika hospitali hiyo na sasa anaweza kusikia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive