Watoto wakabiliwa na uhaba wa chakula katika kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    322 views

    Idadi kubwa ya Watoto katika kaunti ya Turkana wameathirika na utapiamlo huku wasiwasi ukiibuka kuhusu mbinu za kuwahudumia watoto hawa. Takwimu za wizara ya afya zikiashiria kuwa asilimia 38% ya watoto wadogo waliokuwa wakifikishwa hospitalini walikuwa tayari wameathirika na utapiamlo