Watoto watatu waaga dunia kwenye mkasa wa moto katika eneobunge la Bureti

  • | Citizen TV
    2,767 views

    Watoto watatu wameaga dunia kwenye mkasa wa moto katika kijiji cha kapsogut eneobunge la bureti kaunti ya Kericho. moto huo uliozuka jana usiku uliteketeza nyumba ambamo watoto hao wenye umri wa kati ya miaka 6 na 12 walikuwa wamelala na kuwaacha wanakijiji vinywa wazi wasijue la kufanya.