Watoto wengi wanaozaliwa kabla ya kufikisha muda wa wiki arubaini huaga dunia

  • | K24 Video
    48 views

    Watoto wengi wanaozaliwa kabla ya kufikisha muda wa wiki arubaini huaga dunia. Taifa la Kenya huwa na takriban visa elfu 193 vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wa miezi tisa. Serikali sasa inawahimiza wajawazito waende hospitali mara kwa mara ili kupunguza visa hivyo.