Watoto wengi waugua utapiamio kaunti ya Pokot Magharibi

  • | KBC Video
    16 views

    Ukosefu wa chakula katika maeneo kame ya kaunti ya Pokot Magharibi umechangia ongezeko la visa vya utapia mlo miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Kulingana na takwimu za wizara ya afya za mwaka 2022, kaunti ya Pokot magharibi ndiyo inayoongozwa kwa visa vingi zaidi vya utapia mlo kwa asilimia 35.1

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News