- 1,372 viewsDuration: 3:02Watu kumi wamekuwa wa punde zaidi kufariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Kodada, kwenye mpaka wa Nyamira na Homa Bay. Miongoni mwao ni jamaa watano wa familia moja waliokuwa kati ya kundi la wanakwaya waliokuwa wakitoka harusini kaunti ya Kakamega. Ajali hii ikifikisha idadi ya watu 18 walioangamia kwenye ajali mbili tofauti katika muda wa siku mbili zilizopita