Watu 10 wamefariki kwenye ajali ya barabarani Garissa

  • | Citizen TV
    932 views

    Watu kumi na wawili walifariki kwenye ajali mbili tofauti katika kaunti za Garissa na Machakos. Katika ajali ya kwanza, watu kumi waliangamia baada ya basi walimokuwa wakisafiria kugonga trela lililokuwa limeegeshwa kwenye barabara kuu ya Garissa kuelekea mwingi. Na huko kangundo kaunti ya machakos, mama na mwanawe walifariki baada ya kukanyagwa na trela.