Watu 11 wafariki kwenye ajali Nakuru

  • | Citizen TV
    569 views

    Idadi ya waliofariki kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Sobea kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Eldoret imefikia 11. Hii ni baada yawatu wawili kufikishwa katika hospitali ya rufaa ya Nakuru wakiwa tayari wamefariki